wanafunzi kuto vyuo mbalimbali wakiwa wanafuatilia kwa makini baadhi ya mambo kutoka kwa baadhi ya wawezeshaji.
Mkurugenzi Mtendaji wa EAG Group Iman Kajula watatu kutoka kulia, Ruge Mutahaba amba ye ni Mkurugenzi wa Clouds Media Group wakwanza kulia, Wakili Alberto Msando – Wakili maarufu wakujitegemea na mjasiriamali wapili kutoka kutoka kulia, Victor Kikoti Compliance Manager – LAPF na Ephraim Lwila – MenejawaTawi la CRDB Mbeya wanne kutoka kulia.
Naibu Waziri wa Mazingira na Muungano Mh.LuhagaMpina.
Na Anangisye Essau-Mbeya
Tamasha kubwa la ajira na ujasiriamali linalofanyika katika Chuo cha Mzumbe Kampasi ya Mbeya muda huu,ambapo Mgeni Rasmi wa Kongamano hilo ni Naibu Waziri wa Mazingira na Muungano Mh.LuhagaMpina,akiongozana na baadhi ya wataalam na wabobeaji wa biashara na fursa za ajira pamoja na kutoa mada na kuonyesha uzoefu wao kwenye ujasiriamali na utendaji kazini. Watoa mada walioalikwa kwenye Tamasha Hilo ni; Imani Kajula ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa EAG Group, Ruge Mutahaba amba ye ni Mkurugenzi wa Clouds Media Group, Wakili Alberto Msando – Wakili maarufu wakujitegemea na mjasiriamali, Victor Kikoti Compliance Manager – LAPF na Ephraim Lwila – MenejawaTawi la CRDB Mbeya.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni