.

.

02 Mei 2015

NIQAP YAPIGWA MARUFUKU CONCO BRAZAVILLE



Jamuhuri ya Congo- Brazaville imepiga marufuku vazi la Niqab katika maeneo ya umma.
Aidha mamlaka hiyo imewaonya raia wa kigeni ambao ni waislamu kusalia misikitini nyakati za usiku.
Serikali imetetea hatua yake na kusema inanuia kukabiliana na ugaidi.
Maelfu ya wakimbizi wa Kiislamu kutoka nchi jirani ya jamhuri ya Afrika ya Kati wamekimbilia Congo- Brazzaville na wamekua wakipata hifadhi misikitini.
Nchi hiyo ina chini ya asilimia tano ya raia waumini wa kiisilamu.
Hii ndio nchi ya kwanza Afrika kuchukua hatua hii.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni