.

.

27 Juni 2015

MAGONJWA YA MOYO NA KISUKARI TISHIO KWA WATANZANIA.


Licha ya mpango wa serikali kuhakikisha inapambana kikamilifu na magonjwa yasiyoambukiza, tafiti zinaonyesha bado watanzania wengi wanakabiliwa na magonjwa hayo hasa ya moyo na kisukali.
Kwa mujibu wa shirika la afya dunian WHO mwaka 2011, liliazimia kuzitaka nchi zinazoendelea kuhakikisha idadi ya vifo vya sasa vitokanavyo na magonjwa yasiyoambukizwa hadi kufikia asilimia 25 ifikapo mwaka 2025. Ambapo kwa mujibu wa wizara ya afya na ustawi wa jamii imekwisha kufanikiwa uanzishwaji wa kliniki za magonjwa hayo karibu nchini nzima ilikuhakikisha inafikia malengo hayo ya WHO kama mratibu wa mpango wa taifa wa kisukari Bw John Gadna alizungumzia mambo ambayo yanaweza kusababisha magonjwa hayo kuwa ni,.
Msongo wa mawazo, ulaji wa vyakula vya mafuta yaliyopitiliza, ulaji wa chumvi nyingi, na kutokufanya mazoezi ni miongoni mwa mambo yanayotajwa kuwa chachu ya magonjwa hayo ya yasiyoambukiza kama daktari bingwa wa magonjwa ya ndani katika hospitali ya mwananyamala anavyozungumza.
Zaidi ya wagonjwa wa kisukali 6651 wamo katika kitabu cha wagonjwa cha kliniki ya kisukali katika hospitali hiyo, ambapo kwamujibu wa Dkt Nurdin Mavura wa kitengo hicho hupokea zaidi ya wagonjwa wapya 30 hadi 40 kwa siku.
Kwa mujibu wa ripoti za wizara ya afya ziansema mwaka 2012 ilibaini uwepo wa tatizo kubwa la sukari kutoka asilimia 1 hadi 3 na kwashinikizo la damu likiwa nia silimia 5 ahdi 10 hasa kwa watu

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni