Spika
wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu amesema uzembe uliofanywa na serikali
ya Saudi Arabia ndio uliosababisha tukio la maafa yaliyotokea katika
mji mtukufu wa Makka. Katika ujumbe maalumu aliotoa jana Ali Larijani,
mbali na kutoa salamu za rambirambi kwa Waislamu kufuatia tukio la
kusikitisha la Makka alitoa mkono wa pole pia kwa familia za
wafanyaziara waliopoteza maisha na kueleza kwamba serikali ya Saudia
ilipaswa ichukue hatua za lazima kuhakikisha usalama wa mahujaji,
lakini uzembe iliofanya umesababisha kutokea tukio hilo. Spika wa bunge
la Iran ameeleza katika ujumbe wake huo kwamba maafa hayo ya
kusikitisha yamezitonesha na kuziungulisha nyoyo za umma wa Kiislamu na
kuichanganya Hijja ya Kiibrahim na simanzi na majonzi na kwamba kuna
udharura wa kufanyika uchunguzi unaohitajika juu ya tukio hilo. Watu
wasiopungua 107 walifariki dunia na wengine wasiopungua 238 walijeruhiwa
siku ya Ijumaa baada ya winchi kuangukia msikiti mtukufu wa Makka.
Wafanyaziara watano kutoka Iran ni miongoni mwa waliofariki dunia katika
tukio hilo
pika
wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu amesema uzembe uliofanywa na serikali
ya Saudi Arabia ndio uliosababisha tukio la maafa yaliyotokea katika
mji mtukufu wa Makka.
Katika ujumbe
maalumu aliotoa jana Ali Larijani, mbali na kutoa salamu za rambirambi
kwa Waislamu kufuatia tukio la kusikitisha la Makka alitoa mkono wa pole
pia kwa familia za wafanyaziara waliopoteza maisha na kueleza kwamba
serikali ya Saudia ilipaswa ichukue hatua za lazima kuhakikisha usalama
wa mahujaji, lakini uzembe iliofanya umesababisha kutokea tukio hilo.
Spika wa bunge
la Iran ameeleza katika ujumbe wake huo kwamba maafa hayo ya kusikitisha
yamezitonesha na kuziungulisha nyoyo za umma wa Kiislamu na
kuichanganya Hijja ya Kiibrahim na simanzi na majonzi na kwamba kuna
udharura wa kufanyika uchunguzi unaohitajika juu ya tukio hilo.
Watu wasiopungua
107 walifariki dunia na wengine wasiopungua 238 walijeruhiwa siku ya
Ijumaa baada ya winchi kuangukia msikiti mtukufu wa Makka. Wafanyaziara
watano kutoka Iran ni miongoni mwa waliofariki dunia katika tukio hilo.
- See more at: http://www.fichuotz.com/2015/09/uzembe-wa-serikali-ya-saudi-arabia.html#sthash.6nWzTRtD.dpuf

Spika wa Majlisi
ya Ushauri ya Kiislamu amesema uzembe uliofanywa na serikali ya Saudi
Arabia ndio uliosababisha tukio la maafa yaliyotokea katika mji mtukufu
wa Makka.
Katika ujumbe
maalumu aliotoa jana Ali Larijani, mbali na kutoa salamu za rambirambi
kwa Waislamu kufuatia tukio la kusikitisha la Makka alitoa mkono wa pole
pia kwa familia za wafanyaziara waliopoteza maisha na kueleza kwamba
serikali ya Saudia ilipaswa ichukue hatua za lazima kuhakikisha usalama
wa mahujaji, lakini uzembe iliofanya umesababisha kutokea tukio hilo.
Spika wa bunge
la Iran ameeleza katika ujumbe wake huo kwamba maafa hayo ya kusikitisha
yamezitonesha na kuziungulisha nyoyo za umma wa Kiislamu na
kuichanganya Hijja ya Kiibrahim na simanzi na majonzi na kwamba kuna
udharura wa kufanyika uchunguzi unaohitajika juu ya tukio hilo.
Watu wasiopungua
107 walifariki dunia na wengine wasiopungua 238 walijeruhiwa siku ya
Ijumaa baada ya winchi kuangukia msikiti mtukufu wa Makka. Wafanyaziara
watano kutoka Iran ni miongoni mwa waliofariki dunia katika tukio hilo.
- See more at: http://www.fichuotz.com/2015/09/uzembe-wa-serikali-ya-saudi-arabia.html#sthash.6nWzTRtD.dpuf
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni