Hakimu mmoja
Nchini Brazil aliuunga mkono uamuzi wa kushika mali ya nyota wa timu ya
Barcelona Neymar yenye thamani ya milioni 192.7 reais,(milioni dola 48
za Marekani).
Uamuzi wa hakimu
wa mahakama la shirikisho Roberto da Silva Oliveira siku ya Ijumaa
ilikataa rufaa dhidi ya uamuzi wa awali na kukulia takwimu ya awali hapo
Septemba mwaka jana kwa karibu milioni nne reais kutokana na riba.
Neymar anatuhumiwa kwa kukwepa reais milioni 63.6 katika kodi kutoka 2011 mpaka 2013.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni