.

.

30 Machi 2016

SERIKALI YA TANZANIA IMEAGIZA NDEGE MPYA MBILI KWAAJILI YA ATC


Serikali ya Tanzania imeingia makubaliano ya ushirikiano wa anga na Serikali ya Quwait.
Makubaliano hayo yatawezesha mashirika ya ndege ya nchi zote mbili kufanya safari za moja kwa moja na kukuza sekta ya utalii.
Wakati hayo yakijiri, Wizara ya Mawasiliano na Uchukuzi imethibitisha kwamba imeagiza ndege za kisasa kutoka nchini Canada ambazo zinatarajiwa kuwasili nchini ndani ya siku 60 (miezi miwili ijayo). Kwa kuanzia, awamu ya kwanza ya ndege hizo zitafanya safari za ndani bara na visiwani kabla ya kujitanua ndani na nje ya Afrika.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni