TIMU ya Dar Young Africans imefuzu kucheza hatua ya makundi kombe la shirikisho barani Afrika baada ya kushinda kwa tofauti ya jumla ya magoli baada ya mechi yao na Sagrada iliyochezwa leo kumalizika kwa Yanga kufungwa 1 - 0 na kufanya jumla ya magoli kuwa Yanga 2 - 1 Sagrada. Yanga ilishinda katika mchezo wake wa kwanza uliochezwa jijini Dar-es-salaam kwa jumla ya magoli 2 - 0 na leo Sagrada imeifunga Yanga Goli Moja hivyo Yanga kusonga mbele katika hatua ya Makundi.
YANGA YAFUZU KUCHEZA
HATUA YA MAKUNDI KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA
TIMU ya Dar Young Africans imefuzu kucheza hatua ya makundi kombe la
shirikisho barani Afrika baada ya kushinda kwa tofauti ya jumla ya
magoli baada ya mechi yao na Sagrada iliyochezwa leo kumalizika kwa
Yanga kufungwa 1 - 0 na kufanya jumla ya magoli kuwa Yanga 2 - 1
Sagrada.
Yanga ilishinda katika mchezo wake wa kwanza uliochezwa jijini
Dar-es-salaam kwa jumla ya magoli 2 - 0 na leo Sagrada imeifunga Yanga
Goli Moja hivyo Yanga kusonga mbele katika hatua ya Makundi.
Make Money Online : http://ow.ly/KNICZ

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni