.

.

10 Juni 2016

NEYMAR PESA YA MVUTIA KUJIUNGA NA PSG DILI LIKO NJIANI KUKAMILIKA.

 
Transfer news: Barcelona superstar Neymar agrees to join PSG in 2017 for £50m a year
Taarifa kutoka Uhispania zinasema kuwa nyota Mbrazili na Klabu ya Barcelona zinasema kuwa amekubali kujiunga na klabu la mabingwa wa Ufaransa (PSG) mwaka 2017.
Taarifa kutoka kwenye gazeti la Uhispania AS, "Neymar amekutana na mmiliki wa klabu hiyo Al-Nasser Al-Khelaifi huko Ibiza wiki chache zilizo pita. PSG wako tayari kutoa kitita cha pound million 153 kwa ajili ya Neymar ili nyota huyo asiweze uongeza mkataba pale Nou Camp ambapo mkataba wake unaisha mwaka 2018."
   Neymar ana marafiki zake  PSG – Marquinhos, Thiago Silva, David Luiz, Lucas Moura na Maxwell. Pia makubaliaono hayo yataweza kuzidiha kipato chake mara mbili mpaka paundi million 50 ikiwa na mshahara wake wa kawaida poundi million 40 kwa mwaka zaidi anacho kipata pale Barcelona. 
AS inaripoti kwa kusema kuwa Neymar ataondoka Catalona ili aweze kuwa mchezaji bora dunia kwasababu akiendelea kukaa kwenye kivuli cha Lionel Messi ataweza kuwa mchezaji bora duniani.
PSG wanafanya hivyo ili kupata mbadala wa Ibrahimovic aneondoka mwezi wa saba baada ya mkataba wake kuisha.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni