Abiria
pamoja na baadhi ya wananchi wakijaribu kuokoa wahanga katika ajali ya
mabasi ya Ratco Dar Tanga pamoja na Ngorika Arusha Dar baada ya
kugongana katika eneo la Mkata Mkoani Tanga majira ya saa 7 mchana bado
haijathibitishwa ni idadi ya wangapi waliopoteza maisha katika ajali
hiyo. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni