WATU wapatao 30
wameokolewa mpaka sasa baada ya kivuko cha Mto Kilombero kushindwa
kuhimili upepo mkali ulioambatana na mvua ya radi na kisha kugonga nguzo
za pembeni ya mto na kukosa mwelekeo hivyo kupinduka ndani ya maji.
Tukio la kivuko
hicho cha Mto Kilombero kushindwa kumudu upepo sio mara ya kwanza
kujitokeza katika eneo hilo la mpakani mwa Wilaya za Kilombero na
Ulanga, ambapo juzi hali kama hiyo ilijitokeza pia.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni