Sayari ya kumi
ambayo ni kubwa kushinda dunia inaweza kuwa mafichoni na mbali zaidi na
ile ya pluto , hii ni kulingana na ripoti iliyotolewa na jarida la
Astronomical Journal siku ya Jumatano.
Profesa
wanaohusiana na masuala ya sayari wa California Institute of Technology
Mike Brown na Konstantin Batygin walipatia sayari hiyo jina la "Planet
Nine"
Kwa mujibu wa
taarifa iliyotolewa na CIT siku ya Jumatano, "Planet Nine" "ina ukubwa
wa mara 10 zaidi ya sayari ya dunia na umbali wa kilomita 20 kutoka kwa
Jua kuliko Neptune."
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni