Hapa ni nchini
India na huyu ndovu mwitu aliingia katika mji katika jimbo la Bengal
Magharibi na kuhangaisha wakazi kwa saa kadha.
Baada ya masaa
kadhaa maafisa walitumia vishale vyenye dawa ya kutuliza wanyama
kumtuliza lakini tayari alikuwa ameharibu nyumba, magari na pikipiki.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni