Wabunge
wanaotoka maeneo ya Reli wameunda Umoja wa Wabunge wa Reli (
Parliamentary Railways Caucus). Ezekiel Maige ndiye Mwenyekiti na Zitto
Kabwe ndiye Katibu. Lengo ni kuhakikisha kuwa Reli inajengwa na
kuunganisha Burundi ( Musongati) na Tanzania kwa kupitia Uvinza na mfumo
mzima wa Reli kutoka Dar - Kigoma/Mwanza na matawi ya Manyoni -
Singida, Kaliua - Mpanda - Karema, Isaka - Keza ( Ngara) , Pugu -
Tanga/Moshi
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni