Mafunzo ya utunishaji wa mfuko wa asasi,yaliyofadhiliwa na FOUNDATION
CIVIL SOCIETY yakiendelea katika hotel ya mbezi garden Dar es salaam
Wanachama wa YWCA Mbeya wakiwa katika picha ya pamoja katika hotel ya Mbezi garden Dar es salaamNA JULIUS JAILOS...DAR ES SALAAM
YWCA Mbeya wapo jijini Dar es salaam katika hotel ya Mbezi garden,lengo kubwa nikupata mafunzo ya utunishaji wa mfuko wa asasi yanayodhaminiwa na FOUNDATION CIVIL SOCIETY,safari hiyo ambayo wameongoza na afisa mradi wa mfuko huo kutoka mkoani a ELLY BONKE pamoja na afisa usimamizi na tathimini JULIUS JAILO,na mafunzo hayo yameanza tarehe 8 ya mwezi huu nayatamalizika tarehe 12 ya mwezi huu.
Lengo kuu nikuzifanya asasi ziache kutegemea wafadhili na katika mafunzo hayo imekutana mikoa sita tofauti ambayo ni Mbeya,Arusha,Dodoma,Mara,Dar es salaam,na Zanzibar
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni