.

.

04 Aprili 2016

YWCA TANZANIA YAFANYA MAFUNZO KWA VIONGOZI WA TAASISI ZA KIDINI TANZANIA... JIJINI DAR ES SALAAM



                         Kila baada ya mafunzo tuliweza kuanza kwa sala ya pamoja
                                          Mafunzo yakiendelea kunduchi beach hotel
                                   Washiriki wachungaji na vijana kutoka mikoa tofauti

                                                          Majadiriano yakiendelea




Mwandishi na mshiriki wa mafunzo haya ELLY BONKE kutokea taasisi ya MBEYA YOUTH INITIATIVE ......0764761900


 YWCA TANZANIA imeandaa mafunzo ambayo yameendeshwa na WORLD COUNCIL CHURCH mafunzo haya ambayo yalihusisha viongozi mbalimbali wa taasisi za kidini ikiwa ni pamoja na Maaskofu, Wachungaji, viongozi kutoka taasisi za kidini na vijana kutoka makundi mbalimbali.

Mafunzo haya yalifanyika katika jiji la dar es salaam eneo la kunduchi beach hotel... yakiongozwa na REV PAULINE NJIRU (kutoka kenya) PROF EZRA CHITANDO (kutoka zimbabwe) na kiongozi kutoka YWCA TANZANIA  DR GRACE SOKO
yamefanyika kuanzia tarehe 28 mpka 1 march 2016

viongozi wasimamizi kutoka YWCA TANZANIA waliokuwapo ni NEEMA LANDEY na JESCA NDANA

MADA
1.Changamoto ambazo zinawakumba vijana
2.Hofu walizonazo wazazi na viongozi wa dini kwa vijana
3.Utofauti wa kizazi kipya na kilichopita
4.Ukatili wa kijinsia
5.Masuala ya biblia namna yanavyohusianisha na maisha yetu

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni