.

.

30 Juni 2015

JAKAYA MRISHO KIKWETE AKUTANA NA WAPANDA BAISKELI IKULU.

N
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na vijana watano na viongozi wao walioendesha Baiskeli toka Mbeya hadi Dar es Salaam baada ya kukutana nao kuwapongeza ikulu jijini Dar es Salaam leo Juni 30, 2015

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni