Chama cha demokrasia na maendeleo chadema mkoa wa morogoro kimewakumbusha wananchi wa wa mkoa wa Morogoro wasidanganyike na zawadi za tisheti kofia badala yake wapime ahadi zilizotolewa na viongozi wa vyama vya siasa kama zimetekelekezeka kabla ya kufanya maamuzi ya kuwapa ridhaa nyingine kuingia madarakani .
Hayo yamelelezwa na mwenyekiti wa uhamasishaji wa chadema kanda ya kati inayojumuisha mikoa ya Morogoro Dododma na Singida Mathew Likwina wakati akihutumia wananchi katika mkutano uliofanyika katika uwanja wa ndege ambapo amesema wananchi wanakila sabau ya kupima kuona kama kama huduma waliozoahidiwa wamezipata kabla ya kufanya maamuzi kwenye sanduku la kupiga kura.

Nao watia nia kupitia chama cha demokrasia na maendeleo katika jimbo la Morogoro akiwemo mwanaharakati Marcus Urubanus na Steven Daza wamesema sasa wa ni wakati kwa wananchi wa mkoa wa Morogoro kufunguka na kufanya maamuzi magumu kuwachagua viongozi wenye uchungu na kero ya tataizo la ajira na kuhakikisha wanapata ridhaa viongozi watakaosimamia haki na kuhakikisha kodi za wananchi zinarudi kusaidia wananchi wenyewe.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni