.

.

25 Aprili 2016

PENYE MAUMIVU KUNA MAPENZI YA KWELI

Ndugu wasomaji wetu, kama tulivyosoma kwamba maumivu ya mama mwenye mimba huwa ni makubwa na ndiyo maana  popote kwenye maumivu huwa kuna mapenzi ya kweli.Kama tunavyoamini kwamba upendo wa bwana wetu yesu kristu kwetu unadhihirika pale msalabani,ndivyo maumivu anayoyapata mama mjamzito ndivyo mapenzi yanavyokuwa makubwa.Kwahiyo kama hukusikia maumivu wakati wa kujifungua basi amini mtoto huyo humpendi kama wengine..by baba profa hahah....Furaha ya mama inaanza pale anapokabidhiwa mtoto wake baada ya kujifungua
 UWEPO WA BABA WAKATI WA KUJIFUNGUA. Baadhi ya familia hawakubaliani nami kwamba ni vyema baba kuwepo katika tukio la kujifungua lakini kwakweli kwa maoni yangu ni vyema baba akashiriki kikamilifu yale mapenzi ya mama kwa mtoto. Kwanza inampa nguvu mama ajisikie kwamba hayuko pekeyake.Ni mda huu huwa nawahurumia akina mama wanaochukuwa mimba bila kujua ni nani kampatia mimba hiyo maana muda huu huwa wako peke yao na manesi wenye hila.
FURAHA YA BABA HUWA NI SAWA NA YA MAMA

Ni  maumbile tu yanayo tofautisha furaha ya mama na ile ya baba kwani ya baba uambatana na huruma kubwa sana na ndiyo maana baadhi ya wababa hawapendi kuwepo kwenye tukio kwasababu ya kutotaka kuona machungu anayo yapata mama.Na wengine wanashindwa kushika kichanga kwani ukihurumia kwamba labda watakiumiza.Furaha ya baba na mtoto ni sawa na ya mama na mtoto.Wapendwawasomaji,kuweni na christmas njema na mwaka mpya






Hakuna maoni:

Chapisha Maoni