.

.

21 Mei 2016

TANZIA:ALIYEKUA MKURUGENZI WA JIJI LA DAR ES SALAAM AFARIKI DUNIA


Ndugu Wilson Kabwe, aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar na baadae kusimamishwa kazi mwanzoni mwa mwezi Mei, amefariki dunia.
Aidha, inasemekana tangu siku ile wamtumbue jipu ktk Daraja la Kigamboni (Nyerere Bridge) alikuwa shocked sana, ila tangu awali inadaiwa alikuwa kalazwa India akipatiwa matibabu.
Source :jamii fourum

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni