Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TanTrade, Edwin Rutageruka Akimkabidhi tuzo kwa Mkurugenzi Mkuu wa EAG Group Imani Kajula,.Mamlaka
ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) leo imeipa tuzo Kampuni ya
EAG Group LTD kwa kutambua mchango wao mkubwa katika kutangaza na
kuhamasisha umma juu ya Maonyesho ya 40 ya Kimataifa ya Biashara
(Sabasaba) yaliyoisha wiki iliyopita. Akikabidhi tuzo hiyo Kaimu
Mkurugenzi Mkuu wa TanTrade, Edwin Rutageruka alisema ‘’ Leo la TanTrade
ni kuchochea upatikanaji wa masoko ya uhakika na ukuzaji wa viwanda ili
kuifanya Tanzania iwe fursa nyingi ya kukuza pato la Nchi na pia kutoa
fursa kwa wafanya biashara wa Tanzania kukuza biasahara zao na maisha
yao kwa ujumla. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni