Vurugu za wenyeji kuwashambulia wageni, Afrika Kusini
imetengeneza tena 'headilines' baada ya Rais wa nchi hiyo, Jacob Zuma
kusaini muswada ambao utawalazimu watu wote watakaogundulika kuwa na
Virusi vya HIV kuwekewa alama jirani na sehemu zao nyeti.
Kuanzia
sasa mtu atakayepimwa na kugundulika kuwa na VVU nchini Afrika Kusini
hatapewa ushauri nasaha peke yake, bali pia atachorwa tattoo kuonyesha
kuwa ameathirika.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni