Kutoka Dallas
nchini Marekani, mchezaji filamu maarufu Mel Gibson ambaye aliwahi
kutamba na filamu kama Passion of the Christ na Apocalypto, hivi
karibuni ameandamwa na vyombo vya habari kwa kashfa ya kujihusisha
kimapenzi na msichana wa miaka 24 ambaye ni sawa na mjukuu kwake.
Mel (59) anatoka
na msichana huyo aliyetajwa kwa jina la Rosalind Ross ambaye alikuwa ni
mwandishi wa filamu kwenye kampuni yake jambo ambalo limetajwa kuwa
kinyume cha maadili japo kuwa hakuna kifungu chochote cha sheria
kinachombana juu ya jambo hilo. Hata hivyo, Mel hajaongelea lolote juu
ya kashifa hiyo
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni