.

.

20 Septemba 2015

MUUZA MADAWA YA KULEVYA MARIO SERGIO AKAMATWA BRAZIL.

WANAUSALAMA nchini Brazil wamemtia mbaroni mmoja wa walanguzi wakubwa wa madawa ya kulevya nchini humo.
Mario Sergio Machado Nunes, ambaye pia anafahamika kama 'O Goiano' amekuwa mafichoni tangu atoroke jela miaka miwili iliyopita.
Polisi wanasema kuwa alifanyiwa upasuaji ili kubadili umbo lake na alikuwa akitumia stakabadhi bandia.
Mnamo miaka ya themanini, O Goiano alikuwa kati ya watu wachache waliokuwa na uhusiano wa moja kwa moja na aliyekuwa mlanguzi maarufu wa madawa ya kulevya raia wa Colombia, Pablo Escobar.
Amekuwa akisafirisha madawa ya kulevya kati ya Marekani Kusini na Afrika.
O Goiano alikamatwa akiwa katika jumba moja la kifahari katika mji wa pwani wa Guajura.
Hapo jana, maafisa wa kupambana na mihadarati walitangaza kiinua mgongo cha dola milioni 5 kwa mtu yeyote atakayetoa habari zitakazopelekea kukamatwa kwa kiongozi wa genge la wauazaji mihadarati Joaquin Chapo Guzman ambaye kama Goiano alitoroka gerezani.

Huko California takribani Nyumba 1000 za makazi zimeharibiwa na moto ambao umekuwa ukiwaka kwa zaidi ya wiki moja nchini Marekani.
Maafisa wa idara ya usalama wa umma Kaskazini mwa jimbo la California nchini Marekani wanasema kuwa moto huo huenda ukaenea zaidi na kusababisha uharibu mkubwa zaidi.
Takriban watu 5 wameaga dunia kutokana na moto huo.
Idara ya kupambana na majanga imeonya kuwa moto huo umesambaa katika eneo kubwa lenye mamia ya kilomita mraba na huenda watu wengi zaidi wakalazimika kuhama makwao.
Maafisa wanasema kuwa moto wa kipindi hiki katika jimbo la California ambao mara nyingi hutokea kati ya mwezi Septemba na Oktoba unatarajiwa kuwa mkubwa zaidi katika historia
- See more at: http://www.fichuotz.com/2015/09/moto-umeteketeza-makazi-1000-na-kuua.html#sthash.b9L8StTS.dpuf

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni