Tim Sherwood kocha wa Aston Villa aipania Arsenal
Baada ya
Aston Villa kushinda bao 2-1 dhidi ya Liverpool katika mechi ya nusu
Fainali michuano ya FA Cup,sasa kocha wa Aston Villa Tim Sherwood
anasema wanajinoa kuwakabili Arsenal katika mechi ya fainali.
Hata
hivyo amesema kuwa wanatakiwa kujiandaa vilivyo kwani Arsenal katika
mechi za awali walizocheza nao waliwahi walipewa kipigo cha 3-0 na 5-0
hivyo akasema maandalizi wanayopaswa kuyafanya si ya mzaha.
Sherwood amesema kuwa kuna kazi kubwa ya kufanyika ya maandalizi kuanzia sasa hadi siku ya May,30mwaka huu.
Tutakachotakiwa kukifanya nikujilinda,lakini wa (Muro)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni