NIMEKUWEKEA PICHA 11 ZA MUONEKANO WA KIMONDO CHA MBOZI KILICHOPO MKOA MPYA WA SONGWE.
Wajua kuwa kimondo cha Mbozi Mkoani Songwe zamani Mkoa wa Mbeya kina aina ya madini matano?
Iron
Copper
Sulphate
Phosphorus
Pamoja na Niken
Na kiligunduliwa mwaka 1930
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni