.

.

12 Septemba 2015

TANZIA



Mwanamuziki wa Yamoto Band Aslay Isihaka amepatwa na msiba mkubwa baada ya kifiwa na mama yake mzazi. Pole sana kwake na Chambuzi News inaungana nao katika msiba huu

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni