Mkuu wa Wilaya Iringa Mh Richard Kasesela wapili kutoka kushoto akishiriki katika swala la usafi.
Wakwanza kulia ni Meya wa Iringa Mh Alex kimbe wakiwa katika picha ya pamoja
Mstahiki Meya wa Manipsaa ya Iringa Mh Alex kimbe na Mkuu wa wilaya ya Iringa Mh Richard Kasesela leo waliungana na walimbwende walio shiriki na wale watakao shiriki mashindano ya ulimbwende mjini Iringa kufanya usafi usafi katika hospitali ya Rufaa ya Iringa. Zoezi hilo lilianza saa 2 asubuhi hadi saa 4. Mwandaaji wa ulimbwende Iringa Miss Maya alisema wameamua kuhakikisha iringa inakuwa safi na watafanya usafi kila mara mpaka mji ung'are. Naye Meya wa Manispaa Mh Kimbe aliwaomba wadau wote wajitokee kufanya usafi kwa nguvu zote. Mkuu wa wilaya alisem zoezi hili endelevu na wataendelea kuhimiza usafi kwa nguvu zote . Pia alimuomba mstahiki meya kutunga sheria ndogo ndogo kali zenye faini kubwa kwa wanao kaidi sula la usafi.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni